Fursa:- Ni nafasi nyingine tena kwa Wale wote wenye uhitaji wa kazi ya kuhudumia wateja na wenye vigezo ikiwemo muonekano mzuri. Karibuni kwenye familia yetu ya LIN BBQ
FUATA MAELEZO YALIYOANDIKWA HAPO JUU. MAOMBI YATAPOKELEWA KWA NJIA YA EMAIL TU
Location:- ************************************************ HQ:- Sinza kati ya Afrikasana na Bamaga LIN BBQ ANNEX:- Sinza Palestina Kituo Cha daladala kushoto ukiwa unatokea Makaburini, kulia km unatokea Shekilango...Utaona bango letu
2 comments
Julian Draxler
Nipo tayari kufanya hiyo kazi elimu yangu Ni form 4