Hello 😊

Leo tunafungua Group letu, ambalo tutaweza kusaidiana kwa wale wanaokwama ku-Apply ajira / Scholarship

11 comments

Cuthiberty Sedekia
Ni nzuri humu ndani ya teregram au?
marco mathias
Lifungueni kaka
marco mathias
Yeah fungua litusaidie kweny applications
Itakuwa poa sana
Levina Mkwama
Sawa itakuwa poa sana
Janet Samson
Sawa ni njema sana
Winfrida
Poa
Fei Kigwile
Itakua poa sana
Bazar Collection
Vizuri
Itapendeza zaid
Nasry Mashauri
itatusaidia kwa kiwango kikubwa sana