OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
Habari.....
TAARIFA KWA WATUMIAJI WETU WA APP YA Unistore....
App yetu ya Unistore haitakuwa hewani kwa muda wa
masaa kadhaa
kwa sababu za MATENGENEZO NA UBORESHAJI WA HUDUMA ZETU...
TUTAKUWA NA MATENGENEZO/MAREKEBISHO YA KIUFUNDI
Hivyo App yetu haitokuwa hewani kwa muda....
Tutawajulisha...Pale marekebisho yatakapo kamilika!!..
Asante sana!!
4 comments
owen mafito
Oct 17, 2019
Basi mtuambie ni muda gan itakuw haifany kazi na it's take masaa mangap labda
🙁
OGYTECHS
Oct 18, 2019
Asanteni Kwa Taarifa wakuu
Mkoma Msengi
Oct 18, 2019
Ndiyo maana nikifungua inazingua kama sijawasha data
Sadiki Bukko
Oct 18, 2019
Sante kwa taarifa