Habari.....


TAARIFA KWA WATUMIAJI WETU WA APP YA Unistore....

App yetu ya Unistore haitakuwa hewani kwa muda wa masaa kadhaa kwa sababu za MATENGENEZO NA UBORESHAJI WA HUDUMA ZETU...


TUTAKUWA NA MATENGENEZO/MAREKEBISHO YA KIUFUNDI

Hivyo App yetu haitokuwa hewani kwa muda....

Tutawajulisha...Pale marekebisho yatakapo kamilika!!..

Asante sana!!

4 comments

owen mafito
Basi mtuambie ni muda gan itakuw haifany kazi na it's take masaa mangap labda 🙁
Asanteni Kwa Taarifa wakuu
Mkoma Msengi
Ndiyo maana nikifungua inazingua kama sijawasha data
Sante kwa taarifa