HESLB-Download PDF FILE YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KU-APPLY MKOPO 2019/2020


ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WANAOTAKIWA KUSAHIHISHA MAOMBI YA MKOPO 2019/2020
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

✔ Wanafunzi wote wanatakiwa Kufanya marekebisho (Deadline Tarehe 3, October 2019)



✔ Download PDF File ya Majina na Vitu wanavyotakiwa Kurekebisha

Bonyeza Link-Kupakua PDF File yenye majina Ya wanafunzi wote
👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/heslb-list-of-applicants-to-correct-their-loan-applications-2019-2020-incomplete-verified-report/

17 comments

King Idanny
guys nahitaji msaada wenu...status ya account yangu ya heslb ni incomplete kwasababu sikuapload fomu zangu...but then majina ya watu wanaotakiwa kufanya marekebisho kwenye accounts zao yametoka ila langu halipo...nnatakiwa kufanya nini?
King Idanny
Barnabas Carlos
hapo moja kwa moja jibu ni kwamba taarifa zako hazikuwafikia
hili ni balaa sasa...itabidi kesho nikawacheki
King Idanny
SAID HASSAN
Wasiliana nao Direct kupitia Email Address yao
e-mail ntachelewa kupat a majibu..
labda kesho niende kwenye ofisi zao kabsa
Barnabas Carlos
King Idanny
hili ni balaa sasa...itabidi kesho nikawacheki
yani noma zaidi ya noma ila na mimi nakuuliza pia swali vipi kuhusu hayo majina ya wasiokamilisha kujaza fomu wanatakiwa kukamilisha vipi
King Idanny
King Idanny
itabidi nifanye hvy
simu nimepga na kupga hawapokei
Barnabas Carlos
King Idanny
nasikia unaingia kwenye account yk then maelekezo unayakuta humo
maelekezo gani mbona mimi naona wananiandikia complete na siruhusiwi kufanya chochote
Show next 3 comments