OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
🚨
BREAKING NEWS: BENKI YA DUNIA YATANGAZA SHINDANO LA KUANDIKA ESSAY KWA WATANZANIA KUHUSU -NDOA ZA WATOTO TANZANIA
Essay kuhusu :Njia za kumaliza Tatizo la Ndoa za Watoto Tanzania
● Washindi watapata
Fursa ya kufanya kazi Benki ya Dunia (Internships)
● Washindi watapewa zawadi nono na Benki ya dunia
💰
💰
● Washindi watapewa Udhamini -Fully Funded kwenda Marekani-kuhudhuria Mkutano wa IMF
Vigezo:
▪
Uwe Mtanzania
▪
Uwe na umri kuanzia Miaka 18
Deadline: November 30,2019
Bonyeza Link Kufahamu zaidi -MAELEKEZO
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
http://www.unistoretz.com/magazine/world-bank-africa-region-2020-blog4dev-essay-contest-for-young-africans-chance-to-intern-at-a-world-bank-africa-country-office-attend-imf-spring-meetings-2020-in-washington-dcusa/
6 comments
Che Guerix Tigrix
Oct 28, 2019
Itatumwa telegram
Unistoretz Support
Oct 28, 2019
Che Guerix Tigrix
Itatumwa telegram
Una submit online...Soma maelekezo vizur
Jelly Gervas
Nov 5, 2019
OK bigup
Sharifa Omary
Nov 5, 2019
Kwa lugha gani kiswahili au kingereza
Ridans Ridans
Nov 6, 2019
Ili nijiunge niweze kua mmoja wapo nifanyeje maana kila ninavyojaribu kuifatilia kwa njia ya kugusa link hainiletie maelekezo kamili!!!!!
Bless Lameck
Nov 8, 2019
Nawezaje kuanza kuiandka hyo insha na kwa lugha gani?
Ila hhah ukute n kwa kingereza
Ila hhah ukute n kwa kingereza