Hello... Tume-Add kitufe cha kutoa Maoni ( Comments)....


Unaweza Toa maoni yako Hapa....Ushauri au kama unahitaji msaada wowote!!


Asanteni
!!

34 comments

Show 4 more comments
Site yenu nzito mpunguze script
Francis Martin
Site yenu nzito mpunguze script
Sawa ndugu...Tulishughulikia ilo swala.Asante kwa maoni
Kuweni mnatuma na nafas hizi za NEC uandikishaji wa wapiga kura.
Descanius J Wiliamu
Kuweni mnatuma na nafas hizi za NEC uandikishaji wa wapiga kura.
Hello hizo Nafasi, Taarifa kutoka NEC, walisema Watu wanatakiwa wakaombe moja kwa moja kwenye Ofisi za Halmashauri zao
Costantine Kimario
dac great job
Fortunata Lucas
Naitwa bahati luka, natafuta kazi y secretary, nina uzoef wa miaka miwil
0716 219257
Agricius Costa
Jamani sometimes mnapotuma hizi nafasi mnakuwa mmechelewa nyingine zinakuwa zinakalibia na deadlines,wakati matangazo yametoka mapema
Fortunata Lucas
Naitwa bahati luka, natafuta kazi y secretary, nina uzoef wa miaka miwil 0716 219257
Hello Bahati....Fungua LINKS ZA KILA TANGAZO LA AJIRA TUNALOTUMA...Kisha Fuata maelekezo jinsi ya kutuma maombi yako ya kazi
Kwa field ya Education naona kama matangazo yake adimu saana...

Kuna graduates wengi na wenye skills zakutosha katika Elimu since 2015 up now.
Agricius Costa
Jamani sometimes mnapotuma hizi nafasi mnakuwa mmechelewa nyingine zinakuwa zinakalibia na deadlines,wakati matangazo yametoka mapema
Hello..Tunajitahidi sana kutuma kwa wakati....Labda baadhi ya marangazo ambayo huwa tunachelewa kuyapata au wao wenyewe wahusika wenye tangazo wawe wameweka Deadline Fupi
Agricius Costa
Ila cha zaidi kama mna uwezekano wa kuyafikia makampuni yanayotangaza nafasi hizi ikitokea watu wameapply kupitia email baasi yazijibu tu hats email zetu hata kwa kutujuza tu kuwa maombi yamepokelewa maana mengine hata hayajibu mtu unabaki huelewi kama kweli email yko ilipokelewa au ni kitu ambacho hakipo.....
Fortunata Lucas
Sir Tsonny
Mkoa ghan
Dar es salaam, au mwaza
Fortunata Lucas
Sir Tsonny
Oukey
Sawa boss
Afadhali maana kuna kipindi tuliangaika ku apply ajira za nursing systeam yao sijui ilikuaje
Fortunata Lucas
Sawa boss
Pamoja.
Unataka ofisini au hata stationary tu..... je Arusha
Show next 9 comments