GOOD NEWS KWA WATANZANIA WENYE MAWAZO YA BIASHARA NA WANAOTAFUTA MITAJI -2020

🔥 Vijana zaidi ya 2,000 Watapewa Mitaji na mafunzo

💰 Utapewa Mtaji Zaidi ya Million.10 Tshs Na Mafunzo ya Ujasiriamali
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

🗣🗣 SHIRIKA LA TONY ELUMELU FOUNDATION KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA MATAIFA- UNDP WAMETANGAZA FURSA KWA VIJANA


📌 Fursa Kwa Watu Wote wenye Mawazo ya Biashara na Wanatafuta MITAJI

📌 Fursa Kwa watu wote wenye Project zao na wanahitaji Kuzikuza

Vigezo

✔ Uwe Mtanzania
✔ Uwe na Umri kuanzia Miaka 18 na kuendelea
✔ Uwe na Wazo la biashara au Biashara

Deadline: March 01,2020

Bonyeza Link-APPLY ONLINE
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
http://www.unistoretz.com/magazine/tony-elumelu-entrepreneurship-programme-for-african-entrepreneurs5000-grant-available/

1 comment

Nanga Vanga
Hiyo imekaaa vizuri but wasijaribu kuingiza siasa