OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
HESLB-Download PDF FILE YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KU-APPLY MKOPO 2019/2020
ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WANAOTAKIWA KUSAHIHISHA MAOMBI YA MKOPO 2019/2020
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
✔
Wanafunzi wote wanatakiwa Kufanya marekebisho (Deadline Tarehe 3, October 2019)
✔
Download PDF File ya Majina na Vitu wanavyotakiwa Kurekebisha
Bonyeza Link-Kupakua PDF File yenye majina Ya wanafunzi wote
👇
👇
👇
👇
👇
👇
👇
http://www.unistoretz.com/magazine/heslb-list-of-applicants-to-correct-their-loan-applications-2019-2020-incomplete-verified-report/
17 comments
Show 5 more comments
Barnabas Carlos
Sep 30, 2019
King Idanny
hili ni balaa sasa...itabidi kesho nikawacheki
yani noma zaidi ya noma ila na mimi nakuuliza pia swali vipi kuhusu hayo majina ya wasiokamilisha kujaza fomu wanatakiwa kukamilisha vipi
SAID HASSAN
Sep 30, 2019
King Idanny
e-mail ntachelewa kupat a majibu.. labda kesho niende kwenye ofisi zao kabsa
Yap Itakuwa Vizur pia kama kuna Uwezekano huo.
King Idanny
Sep 30, 2019
Barnabas Carlos
yani noma zaidi ya noma ila na mimi nakuuliza pia swali vipi kuhusu hayo majina ya wasiokamilisha kujaza fomu wanatakiwa kukamilisha vipi
nasikia unaingia kwenye account yk then maelekezo unayakuta humo
King Idanny
Sep 30, 2019
SAID HASSAN
Yap Itakuwa Vizur pia kama kuna Uwezekano huo.
itabidi nifanye hvy
King Idanny
Sep 30, 2019
King Idanny
itabidi nifanye hvy
simu nimepga na kupga hawapokei
Barnabas Carlos
Sep 30, 2019
King Idanny
nasikia unaingia kwenye account yk then maelekezo unayakuta humo
maelekezo gani mbona mimi naona wananiandikia complete na siruhusiwi kufanya chochote
Univenture
Oct 1, 2019
King Idanny
simu nimepga na kupga hawapokei
Oi vp umefanikiwa kufanya marekebxho???
King Idanny
Oct 1, 2019
Univenture
Oi vp umefanikiwa kufanya marekebxho???
bd....
King Idanny
Oct 1, 2019
Univenture
Oi vp umefanikiwa kufanya marekebxho???
mwongozo umetoka?
Univenture
Oct 1, 2019
King Idanny
mwongozo umetoka?
Mwongoz bado
King Idanny
Oct 1, 2019
Univenture
Mwongoz bado
mimi nafkir niende ofisini zao
Abby
Oct 1, 2019
🔆
NIDA TANZANIA
🔆
JINSI YA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO CHAKO CHA TAIFA TELEGRAM.
👉
Okoa Tsh 100/= kwa kupata NIN yako kupitia Telegram.
Tembelea
@nidaTanzaniaBot
kupata nambayako ya kitambulisho cha Taifa (NIN) na nakala ya picha ya kitambulisho chako.
Mjulishe na mwenzako.
JINSI YA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO CHAKO CHA TAIFA TELEGRAM.
👉 Okoa Tsh 100/= kwa kupata NIN yako kupitia Telegram.
Tembelea @nidaTanzaniaBot kupata nambayako ya kitambulisho cha Taifa (NIN) na nakala ya picha ya kitambulisho chako.
Mjulishe na mwenzako.