OPPORTUNITIES(unistoretz.com)
Hello... Tume-Add kitufe cha kutoa Maoni ( Comments)....
Unaweza Toa maoni yako Hapa....Ushauri au kama unahitaji msaada wowote!!
Asanteni
!!
34 comments
Show 22 more comments
Dr Philip
Aug 15, 2019
Afadhali maana kuna kipindi tuliangaika ku apply ajira za nursing systeam yao sijui ilikuaje
Sir Tsonny
Aug 15, 2019
Fortunata Lucas
Sawa boss
Pamoja.
Unataka ofisini au hata stationary tu..... je Arusha
Fortunata Lucas
Aug 15, 2019
Sir Tsonny
Pamoja. Unataka ofisini au hata stationary tu..... je Arusha
Ofisi
Sir Tsonny
Aug 15, 2019
Sawa sawa.
lion king
Aug 15, 2019
Et naulizia vp kuhusu ayo majina ya waliohakikiwa na RITA, ndo yameisha yote au kuna round nyingine
Unistoretz Support
Aug 15, 2019
lion king
Et naulizia vp kuhusu ayo majina ya waliohakikiwa na RITA, ndo yameisha yote au kuna round nyingine
Hello..Bado Hawajatoa Taarifa yoyote mpaka sasa...Tunafwatilia..Kukiwa na taarifa yoyote tutawafahamisha.A
Alex Isaack
Aug 15, 2019
asanteni kwa huduma nzuri
lion king
Aug 15, 2019
Unistoretz Support
Hello..Bado Hawajatoa Taarifa yoyote mpaka sasa...Tunafwatilia..Kukiwa na taarifa yoyote tutawafahamisha.A
sawa nashukuru sana mtapopata taarifa yoyote tafadhali nifahamishe
Her Highness
Aug 20, 2019
Mbona leo web yenu haifunguki
lion king
Aug 25, 2019
Samahani nlikua nauliza kdg
Et kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja round ya kwanza alafu mtu akafanya application round tena je kile chuo alichokua amepewa mwanzoni anafutwa au
Fortunata Lucas
Sep 3, 2019
Fortunata Lucas
Ofisi
Ofisi
salum shetui
Oct 17, 2019
Naomba ile post inayohusu kuanzisha NGO .