Hello..Tunajitahidi sana kutuma kwa wakati....Labda baadhi ya marangazo ambayo huwa tunachelewa kuyapata au wao wenyewe wahusika wenye tangazo wawe wameweka Deadline Fupi
Agricius Costa
Ila cha zaidi kama mna uwezekano wa kuyafikia makampuni yanayotangaza nafasi hizi ikitokea watu wameapply kupitia email baasi yazijibu tu hats email zetu hata kwa kutujuza tu kuwa maombi yamepokelewa maana mengine hata hayajibu mtu unabaki huelewi kama kweli email yko ilipokelewa au ni kitu ambacho hakipo.....
Samahani nlikua nauliza kdg Et kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja round ya kwanza alafu mtu akafanya application round tena je kile chuo alichokua amepewa mwanzoni anafutwa au
Unataka ofisini au hata stationary tu..... je Arusha
Et kwa wale waliochaguliwa chuo kimoja round ya kwanza alafu mtu akafanya application round tena je kile chuo alichokua amepewa mwanzoni anafutwa au